Kiswahili Timilifu Form 1 Kiswahili Timilifu Form 1
Price Ksh.: 400.00
Price US$.: 0.00
ISBN: 9966 8464 67 0

Add to Cart
Kitabu hiki kimeandikwa ili kutosheleza mahitaji ya silabasi mpya ya kidato cha kwanza. Kinazingatia stadi za lugha hasa Kuongea na Kusikiliza, Sarufi, Uandishi, Kusoma na Kufahamu, na Fasihi. Vyote hivi ni vipengele muhimu vya silabasi mpya. Mbali na kutoa maelezo kuhusu stadi zinazohusika, kitabu hiki kimesheheni mifano na mazoezi mbalimbali pamoja na jaribio mwishoni mwa kila sura ili kuwezesha mwanafunzi kuielewa vizuri kila stadi.
Empty Shopping CartYour Cart is Empty
Login
Email:
Password:
Create an Account
Forgot Password?