Uhakiki wa Riwaya za Visiwani Zanzibar Uhakiki wa Riwaya za Visiwani Zanzibar
Price Ksh.: 350.00
Price US$.: 0.00
ISBN: 9966 846 38 7

Add to Cart
Kuna maingiliano makubwa baina ya fasihi na matukio ya historia. Kabla ya mapinduzi ya visiwani Zanzibar, kulikuwa na mivutano mikubwa ya kitabaka baina ya ‘walio-navyo’ na ‘wasiokuwa-navyo’. Mivutano hiyo imehifadhiwa katika fasihi ya visiwani.
Tahakiki hii imebainisha namna mivutano ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ilikuwa kichocheo cha mapinduzi. Baadhi ya riwaya ambazo zimehakikiwa kwa undani ni Dunia Mti Mkavu, Nyota ya Rehema, Utengano, Asali Chungu, Kiu, Kasri ya Mwinyi Fuad, na Kuli.
Empty Shopping CartYour Cart is Empty
Login
Email:
Password:
Create an Account
Forgot Password?