Mbinu za Uandishi Mbinu za Uandishi
Price Ksh.: 600.00
Price US$.: 0.00
ISBN: 9966 846 33 6

Add to Cart
Mbinu za Uandishi ni kazi ya kipekee inayoshughulikia kipengee kimoja cha lugha ya Kiswahili ambacho hakijashughu-likiwa na waandishi wengi kikamilifu kinadharia. Kipengee hicho ni juu ya insha, ufahamu, ufupisho na uakifishi.
Hakuna kitabu kingine ambacho kimeshughulikia mada hizi kwa pamoja. Kwa hivyo humbidi mwanafunzi au mwalimu wa Kiswahili aangalie vitabu kadhalika ili apate anachotaka. Mbinu za Uandishi basi kitafunga pengo hili.
Empty Shopping CartYour Cart is Empty
Login
Email:
Password:
Create an Account
Forgot Password?